Search

267 results for Mwanahiba Richard :

  1. Kisa rasimu ya katiba, wanachama Simba wawaka

    KLABU ya Simba inatarajiwa kufanya Mkutano Mkuu Jumapili, huku baadhi ya wanachama wa klabu hiyo wakionekana kugawanyika juu ya rasimu ya katiba inayotarajiwa kujadiliwa na kupitishwa, ikiwa ni...

  2. Serikali yabariki rasimu ya Katiba Simba

    KLABU ya Simba inajiandaa na mkutano mkuu utakaofanyika Jumapili ya wiki hii, huku Kamati ya Maboresho ya Katika ya klabu hiyo imeeleza mkachato wa kutekeleza agizo ya Baraza la Michezo la Taifa...

  3. Simba yatoa sababu kukwama mchakato uendeshaji klabu

    KLABU ya Simba imekwama kukamilisha mchakato wa mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo baada ya serikali kuitaka wafanye maboresho ya Katiba yao. Hivi karibuni uongozi wa Simba ulitangaza Kamati ya...

  4. AFCON 2023 itampaisha Fei Toto

    KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ametabiriwa makubwa kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zitakazoanza rasmi kesho Jumamosi huko Ivory Coast, ikidaiwa zitambeba nyota...

  5. Jezi ya Pondamali Sh25 milioni

    Jana wakati wa hafla ya harambee ya kuzichangia timu za Taifa, ulifanyika mnada wa jezi zenye majina ya wachezaji wa zamani wa Taifa Stars huku jezi ya kocha wa makipa Juma Pondamali ikiuzwa bei...

  6. PRIME Benchikha agoma kumpa mkataba Charamba

    MWANASPOTI juzi liliwajulisha juu ya Simba kushusha jembe usiku mnene kutoka Zimbabwe lililopandishwa boti kwenda kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 na juzi usiku jamaa alianza katika...

  7. Nafasi ya Mangungu yawagawa wanachama Simba

    SIMBA ipo kwenye mchakato wa kufanya marekebisho ya Katiba kama ilivyoelekezwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT), huku maoni mengi ya wanachama yaliyotumwa kwenye Kamati Maalumu iliyoundwa...

  8. PRIME Kikao kumjadili Chama chakwama Simba

    KAMATI ya Nidhamu ya klabu ya Simba iliyokuwa imepanga kusikiliza kesi inayowahusu viungo wa timu hiyo, Clatous Chama na Nassor Kapama kwa njia ya mtandao kupitia Zoom, imekwama, hivyo kufanya...

  9. Kudra Omary: Pacome ananikumbusha enzi zetu zamani

    Ukiwataja mastaa wa Yanga ambao kwa sasa ni vipenzi vya mashabiki basi hutaacha kuwataja Pacome Zouzoua, Aziz Ki Stephane na Maxi Nzengeli. Sio siri utatu wao unawavutia wengi na wote...

  10. Kipa Simba atajwa Mtibwa, Mashujaa

    Timu za Mashujaa FC na Mtibwa Sugar ambazo zinashika nafasi mbili za mwisho kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zinadaiwa kusaka saini ya kipa wa Simba, Hussein Abel katika dirisha dogo la usajili...

Page 1 of 27

Next